SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 2 Mei 2016

T media news

Jinsi ya kubuni mradi kulingana na mtaji ( usiozidi 5m.)

1. Jinsi ya kubuni mradi kulingana na mtaji ( usiozidi 5m.)
2. Vitu vya kuzingati wakati wa kubuni mradi huo.

Natanguliza shukrani.
Click to expand...
MKUU KUNA KITU KINAITWA THREE Cs

1. Commitment

2. Capacity

3. Confidence

Mkuu bila kuwa na hivi vitu vitatu huwezi fanya chochote kwa sababu vinaenda pamoja.

1. Commitment
-Ili ufanikiwe lazima uwe na commitment ya kufa mtu mkuu, ni lazima ujicomit sana ni lazima ukubali either kudharauriwa, kutukanwa kusemwa sana, kulaumiwa na ndugu na jamaa na marafiki, Hata kama ungekuwa na pesa kiasi gani kama huna commitment huwezi fanya chochote kile,

Ni lazima kujitoa mhanga, ni lazima kuscrifai mambo mengi sana, hapa some time utakuwa hata nyumbani huonekani, kijiweni watakuwa hawakuoni, familia yako itakumiss sana, ndugu zako utakuwa huwatembelei kama zamani, ni kwamba 85% ya akili zako i atakiwa ziwe kwenye biashara yako tu, na hizo zinazo bakia ndo zinagawanywa kwa familia, marafiki na kazalika

2. Capacity
Ni lazima uwe na uwezo wa kufanya hiyo kitu unayo tarajia kuifanya, bila kuwa na uwezo hutaweza kufanya chochote. capacity hapa ni pamoja na Capital, Education, afya yako mwenyewe na vingine vingi

3. Confidence
- Ni lazima uwe na confidence ya kufanya kitu, ukiingia katika biashara na mioyo miwili yaani unaanzisha biashara huku unawaza kufilisika au unawaza kwamba ukipata kazi ya kuajiliwa inyo lia utaachana na business, mkuu hutafankiwa, so ni lazima uwe na confidence na ijitahidi ku build hiyo confidence
Laima ujiamni kwamba utaweza kufanikiwa tu, hata kama watakusema sana wewe amini kabisa utafanikiwa, amini postively kwamba your going to make,

UKISHA KUWA NA HIZO C TATU NDO UNAWEZA FANYA HAYO MENGINE IKIWEMO KUBUNI MILADI YA KUFANYA,