SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 17 Mei 2016

T media news

Breaking newss..bavid kafulila abwagwa tena ubunge



KESI YA UCHAGUZI: Mbunge Kigoma  Kusini Hasna Mwilima (CCM) ashinda kesi ya 
uchaguzi iliyofunguliwa na David Kafulila (NCCR-Mageuzi - Pichani) Korti Kuu Kanda ya Tabora.