SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 6 Aprili 2016

T media news

Baraka da Prince Amtambulisha Mrembo Najma Nyumbani Kwao Mwanza...


Habari za uhakika zilizotufikia ni kwamba mwanamuziki wa bongo flava hapa nchini Baraka De Prince amemtambulisha rasmi mke wake mtarajiwa Najma kwa wazazi wake huko jiji Mwanza.

Hongera Baraka kwa maamuzi ya kiutu uzima.