SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 18 Machi 2016

T media news

ISMAIL JUSSA akanusha uvumi wa wabunge wa CUF kujihudhuru

Kuna kitu hichi kinasambazwa kikidaiwa kwamba ati ni barua ya Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui (ambapo waliotunga wamemuandika ni Ahmed Nassor Mazrui).
Hakuna kitu kama hicho. Tunawaomba wananchi wote WAKIPUUZE!