KUSHOTO:M/KITI WA UVCCM (W) YA BUNDA AKIWA NA MKUU WA WILAY YA BUNDA MH LYIDIA BUPILIPILI.
Umoja wavijana wachama cha mapinduzi UVCCM wilaya ya bunda mkoani mara umempongeza rais jonh magufuli
kwa kasi yake ya kuwabana na kuwaahugulikia wabazilifu wa mali za umma na kuirejesha nchi kwenye msitari pia RAIS MAGUFULI ameombwa na jumuiya iyo ya vijana kuwabana wakurugenzi wa halimashauri za wilaya kutenga asilimia 5 za mapato ya ndani za vijana ili waweze kufanya shughuli za kijasiriamlai ili wawezwe kujikwamua kiuchumi
Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa vijana wa ccm (UVCCM) wilaya ya bunda Flavian nyamegeko wakati akizungumza na wandishi wa habari mjini hapa
'' kwa kweli sisi umoja wa vijana wilaya ya bunda tunampongeza rais wetu DR jonh pombe magufuli kwa kazi nzuri anayofanya ya kuismamia nchi yetu na kugaria hali ya vijana pamoja na kusimamia nchi yetu maana hali ilivyokua inakwenda hovyo hovyo na kuwahakikishia wanyonge wana pata haki yao katika nchi yetu na sasa amerejesha heshima kwa serikali yetu" alisema.
Aidha nyamegeko alisema kuna fedha zinatengwa na halimashauri kwa ajiri ya vijana ambazo ni asilimia tano ivyo ni vema halimashaur ikazitoa fedha izo kwa wakati kwa vijana ili vijana ili vijana wasijingize kwenye vitendi vya kialifu kutokana na vijana kukosa ajira au kazi za kuwapatia kipato.