SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 5 Mei 2016

T media news

TOP 25 YA VITU VYA KUSHANGAZA NA KUFURAHISHA ZAIDI KUTOKA AFRIKA,KILA MWAFRIKA ANATAKIWA KUVIJUA.

2.]EQUITORIAL GUINEA NI NCHI PEKEE KUTOKA AFRIKA INAYO ZUNGUMZA KIHISPANIA.

3.]AFRIKA KUSINI NI NCHI INAYOTEMBELEWA SANA NA WATALII KULIKO NCHI YOYOTE AFRIKA.

4.]NIGERIA INA TAJIRI MKUBWA KULIKO WOTE BARANI AFRIKA.

5.]SAMWELI ETOO NDIYE MCHEZAJI ANAYELIPWA PESA NYINGI KUTOKA AFRIKA KWA MUDA WOTE.

6.]TIMU YA TAIFA YA NIGERIA IMECHUKUA MAKOMBE MENGI KULIKO TIMU YA TAIFA YA ENGLAND.

7.]RAIS ROBERT MUGABE NDIYE RAIS MWENYE ELIMU KUBWA KULIKO MARAIS WOTE DUNIA NZIMA.

8.]AL-AHLY NDIYO TIMU TAJIRI KULIKO TIMU ZOTE BARANI AFRIKA.

9.]DIDIER DROGBA NDIYE MFUNGAJI MWENYE MAGORI MENGI ZAIDI KUTOKA KATIKA TIMU YA CHELSEA KWENYE MICHUANO YA (UEFA).



10.]JOHANNESBERG NDIYO JIJI LENYE KUTEMBELEWA NA WATALII WENGI KULIKO JIJI LOLOTE BARANI AFRIKA



11.]ROBERT ALIFUNGWA KWA MIAKA 11 AKIPIGANIA UHURU.



12.]USHELISHELI NDIYE NCHI YENYE WASOMI ZAIDI KULIKO NCHI YOYE BARANI AFRIKA.



13.]RWANDA INAONGOZA KWA USAWA WA KIJINSIA KULIKO MAREKANI NA UINGEREZA.



14.]SOMALIA ILIPATA ATM YAKE YA KWANZA OCTOBER 7 MWAKA 2014.



15.]ETHIOPIA INA VIWANJA VYA NDEGE VINGI ZAIDI BARANI AFRIKA.



16.]UCHUMI WA ETHIOPIA UNAKULA HARAKA ZAIDI YA CHINA.



17.]RAIS WA ERITREA ISAIAS AFWERK NDIYE RAIS TAJIRI KULIKO MARAIS WOTE AFRIKA



18.]ETHIOPIA NDIYO NCHI PEKEE AMBAYO HAIKUTAWALIWA NA WAKOLONI NA IMEDUMU KWA MIAKA 3000



19.]ANGOLA INA WAONGEAJI WENGI WA LUGHA YA KIRENO KULIKO HATA URENO.



20.]GEORGE WEAH NDIYE MWAFRIKA PEKEE ALIYE WAHI KUSHINDA TUZO ZA UCHEZAJI BORA WA DUNIA,ULAYA NA AFRIKA NDANI YA MWAKA MMOJA



21.]SWAZILAND NDIYO NCHI PEKEE YENYE UFALME HALISI DUNIA NZIMA.



22.]GAMBIA NDIYO NCHI NDOGO ZAIDI IKIFUATIWA NA SWAZILAND.



23.]ZIMBAMBE NDIYO NCHI AMBAYO KILA MTU ALIWAHI KUWA MILLIONAIRE KWA KIASI FULANI



24.]MFALME SOBHUZA WA PILI ALITAWALA MUDA MREFU ZAIDI KULIKO WAFALME WOTE WA SWAZILAND MIAKA 62 ALIPEWA MADARAKA MWAKA 1921 NA AKAFA MWAKA 1983 AKIWA NA MIKA 83.'



25.]MFALME SOBHUZA WA PILI ALIOA WANAWAKE 70 NA KUZAA WATOTO 210 KATI YA MWAKA 1920 NA 1970