SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 10 Mei 2017

T media news

LINAH Awajibu Waliomtukana na Picha za Nusu Uchi, Asema Waafrika Asili yetu ni Kuvaa Majani

Msanii Lina alikuwa akihojiwa FNL ya EATV na alipoulizwa swali ni kwa nini ametupia picha akiwa amevaa hivyo alisema sio yeye wa kwanza kufanya hivyo kuna watu kibao wanafanya na watu wanawachukulia poa

Alipoambiwa sio utamaduni wetu alisema waafrika asili yao ni kuvaa majani na kujifunika sehemu ya mbele tu kwa hiyo hata kuvaa nguo full ni utamaduni wa kizungu

 SIKILIZA HAPA: