SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 24 Mei 2017

T media news

Kujiuzulu Kwa Manji je Vita ya Makonda Dhidi ya Wauza Madawa inafanikiwa?



Manji ni mmoja wa waliotajwa na Makonda katika sakata la watuhumiwa wa madawa ya kulevya.

Mara baada ya kutajwa Manji alianzisha mtafaruku mkubwa ikiwa ni pamoja na kwenda na wafuasi kadhaa wa yanga kituo cha polisi,pia alionekana kwenda kifahari sana pale kituo cha polisi...lakini baadaye hatukumsikia akitamba kabisa hadi sasa tunasikia akiiachia Yanga ambayo pengine labda ilikuwa ni maficho yake

Je katika hili tumpongeze makonda kwa ushindi wa awali dhidi ya wauza madawa ya kulevya?