ZAMARADI MKETEMA
RUGE MUTAHABA
AKIONGEA KUPITIA KIPINDI CHA TAKE ONE KUPITIA CLOUDS TV,ALIULIZWA SWALI NA EPHRAHIM KIBONDE AKISHIRIKIANA NA GADNER G HABASH KUHUSU NANI NI BABA WA WATOTO,NDIPO ALIPOMTAJA RUGE MTAHABA KUWA NDIYE BABA WA WATOTO WAKE.
habari michezo na burudani