KUHUSU MTOTO WA JICHO HILI TATIZO LINA SABABU NYINGI SANA.
kwani mtu anaweza kupatwa na mtoto wa jicho kwa kuhusudiwa na sihri au majini, lakini tiba yake ni nyepesi kwa maana haina gharama.
MATIBABU
© tibazakissuna.blogspot.com
Chukua TOTO LA NDIZI
halafu kwanyua lile gamba lake moja na kupata UTOMVU wa lile toto la ndizi.
kisha ule utomvu DONDOSHE katika JICHO na utapata MAUMIVU maana inauma sana, ukisha weka tu NENDA KALALE.
ukiamka utakuta uchafu mwingi sana
UTADUMU KUFANYA HIVYO KWA WIKI MOJA.
JICHO litakuwa safi na salama.
ALLAH MJUZI ZAIDI