SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 15 Desemba 2016

T media news

WAZIRI MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA UHAMIAJI (IOM) NCHINI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimfafanulia jambo Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Dr Qasim Sufi alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Mazungumzo yao yalijadili masuala mbalimbali ya Wahamiaji pamoja na uimarishaji wa ushirikiano kati ya Wizara na shirika hilo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Dr Qasim Sufi alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Mazungumzo yao yalijadili masuala mbalimbali ya Wahamiaji pamoja na uimarishaji wa ushirikiano kati ya Wizara na shirika hilo. 

KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.