SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 16 Desemba 2016

T media news

MREMBO JOKATE AONYESHA HISIA ZAKE KWENYE MTANDAO WA SNAPCHAT

Huenda mwanaume ambaye Jokate Mwegelo anampenda kwa dhati ameshindwa kutambua thamani yake kiasi cha kumpa kidonda cha moyo anachokiuguza sasa.

Ni nani mwanaume huyo? Last time tumecheki, mwanaume pekee aliyepokea neno ‘I love You’ kutoka kwa mrembo huyo ni Alikiba. Iko tricky kidogo sababu hadi sasa bado mastaa hao wanakanusha kuwa na uhusiano.

Anyways, acha turejee kwa Jokate. Siku nzima, mtangazaji na mjasiriamali huyo amekuwa akitumia Instagram kupost series ya picha zenye ujumbe wa mafumbo wa mwanamke aliyeumizwa. Utazame ujumbe huo.