SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 6 Septemba 2016

T media news

SUPER STAR DIAMOND PLATINUMS AZIDI KUNYOOSHA KIMATAIFA,KUJA NA MZIGO MPYA NA STAR HUYU

Ni Headlines za Diamond Platnumz ambae kwasasa bado yuko nchini marekani kwenye maandalizi ya video ya single yake mpya aliyomshirikisha Neyo.Sasa basi huenda kupitia nyimbo zake zimempa nafasi ya kujulikana 
kimataifa hasa ulaya na marekani ambapo leo September 5, 2016 kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amepost picha akiwa na staa wa hit single ya ‘Down in the DM’ Yo Gotti na kuyandika…>>>One of the Real G have ever met…. can’t wait for our Record….Let’s go get em fam’