Tetemeko la ardhi limeripotiwa kutokea kwenye eneo la ukanda wa ziwa Tanzania na kutikisa katika miji mbalimbali ikiwemo Geita, Mwanza na Bukoba.
Wakati T MEDIA NEWS inaendelea kufatilia taarifa zaidi za uhakika, hizi ni baadhi ya picha zilizotumwa na Waandishi wa habari kutoka upande huo wa kanda ya ziwa.