SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumapili, 27 Novemba 2016

T media news

RAIS MAGUFULI APATA UGENI MZITO WA MARAIS WAWILI NCHINI


Rais Magufuli leo amepokea Marais wa Mataifa mawili ya Tchad na Zambia kwa mialiko ya ziara za kikazi.Rais wa Chad Idriss Deby atakuwepo nchini kwa siku mbili katika ziara ya Kikazi.

Tanzania na Zambia zinatarajia kusaini mikataba ya ushirikiano Kibiashara,kiuchumi na kidiplomasia