SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumapili, 15 Oktoba 2017

T media news

HEWA CHAFU KUTOKA UKENI


  hili ni tatizo linalowakumba WWANAWAKE wengi sana tena sanaa na wanashindwa wafanye nn kulitatua na pia wengi wao hawajuwi ni kitu ganikinasababisha hali hiyo.

Na tatizo hili zaidi hutokea mnapokuwa mnafanya mapenzi hasa ile style maarufu mbuzi kagoma kwenda🐐 sababu mwanamke anakuwa ameinamisha kichwa chini kiuno juu hivyo huruhusu hewa hiyo kutokea ukeni

 Hali hii inakosesha raha na kutojiamini  kabisaa na sanyingine hukufanya usitake kuwa na mwenzio

Vilevile  ni aibu haswa kwa  wale walio katika ndowa wapya  utatamani ardhi ipasuke utumbukie

Lakini hali hii tunaisababisha wenyewe mwali tena kwa uvivu wetu  kwa vitu tunavyofanya wenyeweahahahahahaaaaa
   SABABU ZINAZOPELEKEA KUJAMBA UKENI NA TIBA YAKE
   KUTOJUA KUJISAFISHA UKE
kwa wale wanawake wote wasiojua kujisafisha vizuri uuke   tatizo hili lazima likupate
kwahali hiyo basi UKE inatakiwa  kuusafisha vizuri na kwa makini na inavyotakiwa pia hakikisha baada ya kuusafisha futa na kitaulo maalum kwaajili ya kufutia sio kanga ulioshindia kwenye mavumbi unaenda kujifutia baada ya kuoga.
        UTUMIAJI MAJI MOTO
ukiwa unapenda kusafishaa Uuke wako  kwa majimoto tatizo hili lazima likukumbe maana maji ya moto hulegeza uke na kuufanya uwe unatoa hewa chafu wakati wa kufanya tendo la ndoa  hata baada ya kufanya Uuke inatakiwa usafishekwa maji baridi ni mazuri na yanasaidia kubana misuli ya uuke  pamoja na kuwalinda bacteria ambao ni walinzi wa uke kwa ujumla.
     KULEGEA KWA MISULI YA UKE
Pia ikiwa imelegea inasababisha vijambo kwenye Uuke kutokana na uke kuwa wazi
```ULALAJI NA SHAHAWA UKENI
Kwa wale wanawake wasiojisafisha ukeni baada ya kufanya tendo la ndoa  hali hii lazima itakukuta na pia wanawake  hamtakiwi  kulala na shahawa ndani ya uke unalegeza uuke  na kupoteza joto la asili la uuke , vilevile kulala na shahawa bila kunawa unasababisha uuke  kutoa harufu mbaya
   USAFI PINDI TUMALIZAPO TENDO LA NDOA
Unapomaliza kufanya jimai mfute mmeo na wewe ujifute, nendeni bafuni ikibidi muoge sio ukimaliza unageukia upande wa pili unakoroma shawaha kibao ukeni uke unapoa na kutepeta.
ukifika bafuni chuchumaa kwa muda kuruhusu shahawa zitoke kwa urahisi  jikamue kidogo ili shahawa zitoke vizuri
Kisha osha  uke kwa maji mengi usitumie sabuni osha na maji baridi  kwani maji moto yanarejesha uke nduguzangu  ok kisha jifute vizuri kwa kitaulo safi uuke ubaki  kikavu .

1.OSHA UKE WAKO KWA MAJI SAFI KILA UNAPOMALIZA KUJISAIDIA HAJA NDOGO(PEE)
Asilimia kubwa ya wanawake hawana mazoea na utaratibu huu.Ni utaratibu muhimu katika maisha ya kila siku ya mwanamke. Unapokuwa unajisaidia haja ndogo,most of the tym lazima utakuwa umechuchumaa/umechutama(umesquat),haja ndogo yako inapokuwa inatoka,lazima kutakuwa na mabaki kidogo kidogo yatakurukia na kubakia kwenye lips za nje au za ndani za uke wako(labia majora or minora).

Hayo mabaki baada ya muda yatachanganyika na jasho(sweat) na kutengeneza harufu mbaya,kwa hiyo ili kujiepusha na yote haya,ni heri ukaosha uke wako kwa maji safi kila ukimaliza kujisaidia haja ndogo.

2.UKIWA UNAOSHA SEHEMU ZAKO ZA SIRI,TUMIA MTINDO(STYLE) WA KUPELEKA MKONO KUTOKA MBELE KURUDI NYUMA
Kuna baadhi ya wanawake teyari wameshazoea kusafisha sehemu zao za siri kwa kupeleka mkono kutoka nyuma kuja mbele.Huu mtindo sio mzuri kiafya kwa kuwa huko nyuma kuna Tigo(anus),na kwenye Tigo kumejaa uchafu na bacteria wengi tu.Sasa wakati unajisafisha,unapopeleka mkono nyuma unakuwa kama unazoa bacteria na uchafu kutoka kwenye Tigo,halafu ukauleta mkono mbele unakuwa unawaacha hao bacteria na uchafu kwenye uke wako. Na huo ndio mwanzo wa uke wako kutoa harufu mbaya na kupata infections za ajabu ajabu.

Ukitaka kuwa salama,haijalishi kuwa umemaliza kujisaidia haja kubwa au ndogo,au wakati unaoga,ukitaka kusafisha sehemu zako za siri,tumia mtindo wa kupeleka mkono mbele kurudi nyuma ili usije kuwaleta bacteria na uchafu wa Tigo mbele.

3.VAA NGUO ZA NDANI ZENYE ASILI YA PAMBA(COTTON)
Pamba(cotton) ina uwezo wa kupitisha hewa hata kama ni kidogo sana. Na sehemu za siri za Mwanamke zinahitaji flow ya hewa inayopita,nyingine iwe inaingia na nyingine iwe inatoka.Hii flow ya hewa hata kama ni ndogo itasaidia kufanya sehemu zako za siri kuwa fresh muda wote na utapunguza uwezekano wa uke wako kutoa harufu mbaya.
Na pia punguza kuvaa nguo za kubana sana muda wote,nguo za kubana zinasababisha majasho sehemu za siri na ukizingatia hamna flow ya hewa kwenye sehemu zako za siri basi lazima hayo majasho yataanza kutoa harufu mbaya.

4.USIVAE NGUO YA NDANI MOJA SIKU NZIMA
Kwa jinsi maumbile ya Mwanamke yalivyo,unatakiwa kubadili nguo ya ndani mara mbili au tatu kwa siku.
May b ulivaa nguo ya ndani asubuhi,ikifika mchana,ingia ladies room(bafuni/chooni),Vua Nguo yako ya Ndani,kisha unaweza ukaoga mwili mzima(which is better) au ukasafisha sehemu zako za siri.Nguo ya ndani uliyovua unaweza ukaifua(which is better) au ukaikunjakunja na kuiweka ndani ya kipande cha khanga au kitenge ndio uweke kwenye handbag yako ili kama ikitokea ukaopen handbag yako in public,watu wataona khanga au kitenge,hawatojua ndani umeweka nini.

5.PUNGUZA KULA VYAKULA VYENYE SUKARI AU YEAST KWA WINGI
Unaweza ukapunguza uwezekano wa kupata Yeast Infection au Bacteral Vaginosis kwa kuacha au kupunguza kula vyakula vyote vyenye sukari au yeast kwa wingi.
Vyakula hivyo ni kama vile vyakula vyote vinavyotengenezwa na hamira,pombe/bia n.k
Ukizidisha Vyakula au vinywaji hivi,ina maana utakuwa unazidisha yeast mwilini,na wakizidi kwenye uke utapata yeast Infection,mwisho wake uke wako utaanza kutoa harufu mbaya.

6.BADILI PADS ZAKO MARA KWA MARA UNAPOKUWA KWENYE SIKU ZAKO
Ili kuzuia uke wako usitoe harufu mbaya kipindi ambacho upo kwenye siku zako,inashauriwa kubadili ur pad mara kwa mara(may b after each 4 or 6 or 8 hours,it will depend how many pads can u afford per day)
Kubadili pads mara kwa mara kunasaidia ujisikie upo comfortable,inazuia bacteria kujikusanya,inasaidia kupunguza uwezekano wa kupata infection na mwisho inaondoa uwezekano wa uke wako kutoa harufu mbaya.

7.NYOA(SHAVE) NYWELE ZAKO ZA SEHEMU ZA SIRI MARA KWA MARA
Nywele zako za sehemu za siri zinapokuwa ndefu,unakuwa umetengeneza maficho(hiding place) ya kila aina ya uchafu kuanzia jasho,majimaji yatakayokuwa yanakutoka ukeni ukiget aroused,mabaki ya haja ndogo n.k
Ili kuepusha yote haya ni heri ukawa unazikata nywele zako za sehemu za siri mara kwa mara.

8.NENDA HOSPITALI MAPEMA NA HARAKA TENA SANA
Yaani hata usichelewe,kwani haya matatizo especially Bacteral Vaginosis na Yeast Infection ni matatizo ambayo yanaweza kutibika kwa dawa.Ni heri uwahi mapema ili uongeze uwezekano wa kupona haraka bila matatizo.