SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 7 Machi 2017

T media news

Baada ya TID Kumfananisha na Panya..Steve Nyerere Ampa Jibu Hili ...!!!


Msanii mchekeshaji Steven Nyerere ameendelea kum diss TID kwa kusema ni mtu ambaye wakati wake umepita na pia hajielewi na hawezi kujifananisha naye

Amedai msanii huyo anaishi kwao na amekuwa akimpiga vizinga vya 10,000 na 5,000 kila akiona gari lake huku yeye akiwa ana nyumba na anatunza familia na kununua mafuta ya magari kadhaa