SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 17 Februari 2017

T media news

ANGALIA KAULI YA WEMA SPETU BAADA YA MANJI KUPATA DHAMANA

Mwigizaji Wema Sepetu ameyaandika haya baada ya kuona taarifa za Mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti wa Yanga kuachiwa kwa dhamana leo Mahakamani Kisutu Dar es salaam baada ya kushikiliwa kwenye sakata la dawa za kulevya.