SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumapili, 20 Novemba 2016

T media news

ONA PICHA ZA MSHAMBULIAJI WA YANGA BUSUNGU ALIVYONUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI DAKAWA

Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Malimi Busungu amenusurika kifo katika ajali ya gari jana jioni katika eneo la Dakawa akiwa njiani kuelekea mkoani Dodoma.

Menaja wa mshambuliaji huyo akithibitisha ajali hiyo alisema; “Kweli Busungu kapata ajali, na gari imeharibika vibaya sana. Ila Busungu mwenyewe amenusurika na yuko salama.”

Baadaye mshambuliaji huyo naye alithibitisha kutokea ajali hiyo lakini akamshukuru Mungu kwa kumnusuru na kutoka salama katika ajali hiyo.

CHANZO GROBAL PUBLISHERS