
Na Sosy
RAIS John Magufuli aendelea na kuiweka sawa mamlaka muhimu nchi ya TRA kwa kufanya uteuzi mapema hii leo katika nafasi ya naibu kameshna mkuu TRA iliyokuwa wazi kwa mwaka mmoja.
Rais Magufuli yupo kwenye kuiunda mamlaka hiyo katika ustawi utakao mridhisha kwa maslahi ya taifa.
